Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
ahsantePole dada, jambo la msingi ni kujifunza kutokana na makosa!
Dada usihofu mm nitakusaidia kulea mimba mpk unajifungua am serious kdogo changu tutagawana ilimradi ushinde njaa na mtoto akue.nitafute kma hutajal sina nia ila nimeguswa tu ma na tatizo lako.novavilla8@gmail.comHellow jf,baada ya yule man alonipa ujauzito kunilazimisha nitoe na mie kukataa hatimaye kanitext eti yeye alishanambia kuwa ana mke ambaye ndo huyo msichana alonambia kua yuko nae kwa hiyo kuhusu hii mimba ntajua mwenyewe yeye hausiki na lolote kama mtoto atakuja kumtafuta daah kiukweli imeniuma sana but mejifunza kutokana na makosaa.
Sema tu unataka kumfanya mke hapo baadae. Naona thread yako haikupata response.Dada usihofu mm nitakusaidia kulea mimba mpk unajifungua am serious kdogo changu tutagawana ilimradi ushinde njaa na mtoto akue.nitafute kma hutajal sina nia ila nimeguswa tu ma na tatizo lako.novavilla8@gmail.com
Okay,thank you.Dada usihofu mm nitakusaidia kulea mimba mpk unajifungua am serious kdogo changu tutagawana ilimradi ushinde njaa na mtoto akue.nitafute kma hutajal sina nia ila nimeguswa tu ma na tatizo lako.novavilla8@gmail.com
Heee!! Ndo kaona ajipatie mwanamke banaSema tu unataka kumfanya mke hapo baadae. Naona thread yako haikupata response.
Natafuta gal
Dada kuwa Makini sana na watu kama hawa.
Anaweza kukusaidia kweli lakini Matapeli na wenye nia mbaya wamejaa pia.
Okay nashukuru kwa ushauri.Sema tu unataka kumfanya mke hapo baadae. Naona thread yako haikupata response.
Natafuta gal
Dada kuwa Makini sana na watu kama hawa.
Anaweza kukusaidia kweli lakini Matapeli na wenye nia mbaya wamejaa pia.
sawaSasa hiyo ya kwanza bado na ya pili, tatu na mtondogoo hapa ndo nashangaaga wanawake upo kwenye siku mbaya lakini bado unaachia kitobo hamjuagi kuna condom
but hiyo ni dawa yenu mimba tuuu basi hakuna dawa nyingine
Ila ni vema kujifunza kutokana na makosa ya wengine siyo yako. Makosa mengine hata muda wa kujifunza hasingepata. Bora kapewa mimba ingekuwa VVU sijui ili somo lingemsaidia nini.Pole dada, jambo la msingi ni kujifunza kutokana na makosa!
mkuuHellow jf,baada ya yule man alonipa ujauzito kunilazimisha nitoe na mie kukataa hatimaye kanitext eti yeye alishanambia kuwa ana mke ambaye ndo huyo msichana alonambia kua yuko nae kwa hiyo kuhusu hii mimba ntajua mwenyewe yeye hausiki na lolote kama mtoto atakuja kumtafuta daah kiukweli imeniuma sana but mejifunza kutokana na makosaa.
Hakunambia kama ana mke mie alichonambia mwanzon alidai kwamba kuna msichana yuko nae ila yupo mkoa mwingine but baada ya me kua mjamzito ndo akadai kwamba huyo msichana walishatambulishana na kwao na sometime anadai ni mkewe.mkuu
ulikua hujui kama ana mke
Thanks dearPole sana dear,usijali mungu analea jus keep on prayer one day you will be a hero.
Mkuu sema haki ya mungu!Teh,nyie huwa hamkumbk.nliwah date na single mother mmoja hv,ambaye tuliaminiana saana.alinisimulia kuwa,alipewa ujauzito akiwa kidato cha nne..baadae jamaa akaukataa ujauzito na akamshinikiza autoe.lakini binti aliamua kulea.mtoto saiv yuko darasa la tatu,,jamaa ndo kamrudia manzi na kuomba wamlee mwanaye.mm nkapigwa chini kwa sababu ya jamaa.iliniuma saana# nkamtakia kila lakher.
Nilichojifunza ni kwamba nyie viumbe hamna msimamo na mnasahau mapema saana mliyotendewa