Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,603
- 3,666
Ilikuwa ni maeneo fulani....katika jiji la Dar-es-salaam..
Askari wa jeshi la usalama wa Raia, akiendesha PIKIPIKI ikiwa na Namba ya zamani, pamoja na abiria wake (Mwanafunzi) pasipo KOFIA ngumu kichwani (Helmet)
Tunaifundisha nini jamii yetu, pale tunapo kuwa na kauli mbiu ya UTII WA SHERIA BILA SHURUTI...!!
Sent using Jamii Forums mobile app