Kwa hili, hachomoi mtu

UTAFITI:Inasemekana shetani yuko karibu zaidi kwa mwanamke kuliko kwa mwanaume
 
Kosa kubwa sana kwani hujui maembe mabichi yanaliwaga na chumvi
 
Aaaaa. Mmeanza tena mambo yenu eeh? Nikisema hayatuhusu, mnasema sio lazima kuchangia. Sawa, ngoja ninyamaze kimya.
 
si alikuja mwenyewe? sasa nini mbaya na wewe lakini?
Hata mita za umeme tunafungiwa majumbani mwetu tena kwa gharama zetu, ila ukichokonoa tu ndo utamjua mmiliki ni nani.
 
Hata mita za umeme tunafungiwa majumbani mwetu tena kwa gharama zetu, ila ukichonokoa tu ndo utamjua mmiliki ni nani.
hahahahahahahaha yaan umenikumbusha kitu ambacho nilishawah kujiuliza ila majibu nikapata.
 
Mkuu sasa maelezo yote haya ya nini mimi nikafikiri labda ulikula mzigo? Wewe muoga sana I see.
 
<<< Inaelekea Unakula kula HIZI chips YAI wewe >>> I mean SI RIZIKI ndio MAANA unaruka ruka tu HAPA >>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…