Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
sio wa kishua ila nitakuja kuwa mshuaaa... Maisha ni magumu kila kona na competition haikwepeki hata kwenye biashara... Tusilaumu hr kuita nyomii kwani wote wamekidhi vigezoooo...Bila shaka uko kazini au kishua ndg
hawajui vita iliyokuwepo huku mtaani... wangejua wasingetamani kumaliza chuoo ikibidii.. ila wajipange kabla hawajamalizaaa... hivi ni vitaaaa vya bila silaha.Kuna wengine nilikutana nao pale IFM nadhani ni wanafunzi wa IFM wakawa wanabishana wao kwa wao..kuwa kama akimaliza chuo basi akipata kazi anataka kulipwa kiwango cha chini mil 1.5 hakika wale madogo niliwaangalia nikabaki nasema ngoja mmalize chuo manina zenu......mtatamani hata mshahara wa laki 1 kwa mwezi.
wakubaliane na matokeooo na kila mwaka contena inatemaaaaa... kwaiyooo bora wanazidiii na ushindani unakuwa mkubwa zaidiii na haikwepekiiii.Watakuja kukusoma muda si mrefu.
Wanataka wakimaliza chuo wapangiwe post kiulaini bila hata kujua jinsi ya kuchuja mbu na ngamia vichwani mwao!
Taaluma nyeti is also an option kwa watu wasiopenda competition na wanaopenda kuwa wa kawaida
Kozi za afya
for sureeyaani tofaut ni taaluma za kupangiwa kama afya na elimu,wengine wote lazima tujifunze kuwa washindani haswaaa! interview ndiyo atakuwa mwajili wetu...na hapo ndo umuhimu wa mambo ambayo watu huyakwepa wawapo shule huonekana kama vile kukwepa debate,presantation,kuvaa tai,kuchomekea,speak english n.k!! only the strongest in confindence will survive!
yaani tofaut ni taaluma za kupangiwa kama afya na elimu,wengine wote lazima tujifunze kuwa washindani haswaaa! interview ndiyo atakuwa mwajili wetu...na hapo ndo umuhimu wa mambo ambayo watu huyakwepa wawapo shule huonekana kama vile kukwepa debate,presantation,kuvaa tai,kuchomekea,speak english n.k!! only the strongest in confindence will survive!
for sureeeuzembe ndio tatizo la vijana wengi wawapo vyuoni/shuleni,,, na uzembe huu huanzia toka sekondari mpaka vyuo vikuu,,, haina haja ya kuzungusha maneno,, ukweli ni kwamba vijana wengi wakitanzania wawapo shuleni wengi wao huendekeza mambo ambayo sio muhimu na lazima katika wakati huo wakiwa kwenye masomo,, mfano NGONO, STAREHE ZA KWENDA KWENYE MACLUB, KUTOTUMIA MITANDAO VIZURI... ukiwa shule unatakiwa 75% ya muda iwe ni shule, 15% usome elimu mtaani baada ya shule, 10% michezo na kupumzika.. ukiwa shule soma uwe wa kimataifa na si kusoma ukafanye kazi TRA kwa mjomba, jitahidi katika kusoma kwako kwenye hiyo elimu yako uangalie ni kipi mtaani kinaweza kukupa hela ya kula.. ukiwa likizo tenga muda wako kujifunza skills mfano welding, computer repair and maintenance, aircondition repair and maintenace, ujifunze hata kumwaga oil za magari (service ya gari kwa ujumla),, usipende kukaa mda mwingi na masharobaro/matoz huwa hawana michongo zaidi ya ujinga tu jichanganye na watoto wa kitaa usikie idea zao na ramani zao mfano manzese,tmk, kinondoni, ilala,magomeni......
UZEMBE NI JANGA TANZANIA,, TUPAMBANE NAO.. HUU UGONJWA WA UZEMBE UTANGAZIWE VITA YA KITAIFA.. tupunguze wale wakata kucha na watengeneza nywele kazini kwani taifa masikini hili,,,,watu wafanye kazi, wanafunzi wasome kwa bidii bila uzembe uzembe.
hawana juhudiiii na sio wabunifu.vijana wengi wakitanzania sio strong kwenye kazi nina maana sio wachapakazi,, 87% ni wavivu na wapo kwa ajili ya mwisho wa mwezi na kuangalia afanyeje aitia hasara kampuni kwa maana ya kuiba... wapo wengi ambao wanavaa tai na kingereza wanaongea vizuri ila sio wachapa kazi.. Watu wajengewe mazingira ya kuwa wachapakazi na waamini kwenye uchapakazi mfano angalia wafilipino,,, taifa likijulikana watu wake ni wachapa kazi hicho kingereza na kuvaa tai havisaidia, ila ikisha julikana tanzania kuna work force inayojituma kwenye kazi katita kada mbalimbali basi watu watapata ajira na kiingereza hiki hiki chakuunga.... Asilimia kubwa ya vijana hapa tanzania wanawaza mda wa kutoka kazini tu ili waende kwenye vipub na kwenye kuigiza mitaani.
cha maana ukiwa shule ni kuelewa kile ufundishwacho theory na application zake, ujijenge kwenye altitude ya kufanya kazi kwa bidii na sio ujanjaujanja.
uzembe ndio tatizo la vijana wengi wawapo vyuoni/shuleni,,, na uzembe huu huanzia toka sekondari mpaka vyuo vikuu,,, haina haja ya kuzungusha maneno,, ukweli ni kwamba vijana wengi wakitanzania wawapo shuleni wengi wao huendekeza mambo ambayo sio muhimu na lazima katika wakati huo wakiwa kwenye masomo,, mfano NGONO, STAREHE ZA KWENDA KWENYE MACLUB, KUTOTUMIA MITANDAO VIZURI... ukiwa shule unatakiwa 75% ya muda iwe ni shule, 15% usome elimu mtaani baada ya shule, 10% michezo na kupumzika.. ukiwa shule soma uwe wa kimataifa na si kusoma ukafanye kazi TRA kwa mjomba, jitahidi katika kusoma kwako kwenye hiyo elimu yako uangalie ni kipi mtaani kinaweza kukupa hela ya kula.. ukiwa likizo tenga muda wako kujifunza skills mfano welding, computer repair and maintenance, aircondition repair and maintenace, ujifunze hata kumwaga oil za magari (service ya gari kwa ujumla),, usipende kukaa mda mwingi na masharobaro/matoz huwa hawana michongo zaidi ya ujinga tu jichanganye na watoto wa kitaa usikie idea zao na ramani zao mfano manzese,tmk, kinondoni, ilala,magomeni......
UZEMBE NI JANGA TANZANIA,, TUPAMBANE NAO.. HUU UGONJWA WA UZEMBE UTANGAZIWE VITA YA KITAIFA.. tupunguze wale wakata kucha na watengeneza nywele kazini kwani taifa masikini hili,,,,watu wafanye kazi, wanafunzi wasome kwa bidii bila uzembe uzembe.