ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 11, 2013 #1 Habari zenu wakuu vimmshindaje? Naombeni mnisaidie hivi hash tag ni kwa ajili ya nini maana hii @ hutumika kwa kutag jina la memba iwe JF, FB au Twitter sasa # nayo kule twitter inatag nini hasa? Thanks in advance #WeekendNjema
Habari zenu wakuu vimmshindaje? Naombeni mnisaidie hivi hash tag ni kwa ajili ya nini maana hii @ hutumika kwa kutag jina la memba iwe JF, FB au Twitter sasa # nayo kule twitter inatag nini hasa? Thanks in advance #WeekendNjema
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jan 11, 2013 #2 HashTag ni almost kama topic, ili watu mnao tweet kuhusu kitu kimoja mweze kujuana
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 12, 2013 Thread starter #3 Kang said: HashTag ni almost kama topic, ili watu mnao tweet kuhusu kitu kimoja mweze kujuana Click to expand... asante sana..
Kang said: HashTag ni almost kama topic, ili watu mnao tweet kuhusu kitu kimoja mweze kujuana Click to expand... asante sana..