Kwa hiki nilichokiona jana Kinondoni, Mtulia tafuta suti tu ya kuapishiwa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
Kwa nilichokiona jana kwenye kampeni za mwisho mwisho za uchaguzi Kinondoni inabidi Mtulia aanze kuangalia mambo mengine ya muhimu kama kutafuta suti ya kuapishwa na vitu vingine awaachie wana Kinondoni wamalize kwenye masunduku ya kura.

Pia nitumie uzi huu huu kumpongeza Dk Freeman Mbowe kwa intelijensia yake ya hali ya juu.

Mbowe alipopata taarifa za uhakika kuwa Kinondoni hawana chao ilibidi achukue kundi la watu 200 kwenda kutaka kuonana na mkurugenzi NEC,watu 200 wanatakana kuonana na mtu mmoja,who does that?

Mbowe anawaanda kisaikolojia vijana kwamba wameibiwa kura.

Kila la kheri uchaguzi mdogo Kinondoni na Siha.
 
Hiyo inajulikana Chadema ya leo wameka kama wale wamama wanaokodishwa kwenda kulia owe sauti kubwa kwenye kilio, kuonyesha kuwa marehemu alipendwa sana ( MERCENARY MOURNERS A)
 
Watu 200 wenyewe hawakupatikana!
Kaaazi kweli kweli
 
Mbowe Msanii sana na ninamkubali kwa Hilo!

Kukusanya Magenge ya Bavicha kwa Miaka mingi na kuyafanya yakukubali mpaka kuona Maisha Yao yanategemea uwepo wako ni usanii wa haki ya juu sana!

Makarai Sasa hivi yanaanda thread za kulalamikia Matokeo ya UchaguI wa Siha na Kinondoni!
 
Kujitoa ufahamu kwa kiwango cha uzwazwa huu mna kazi wana ccm
 
Mbowe Msanii sana na ninamkubali kwa Hilo!

Kukusanya Magenge ya Bavicha kwa Miaka mingi na kuyafanya yakukubali mpaka kuona Maisha Yao yanategemea uwepo wako ni usanii wa haki ya juu sana!

Makarai Sasa hivi yanaanda thread za kulalamikia Matokeo ya UchaguI wa Siha na Kinondoni!
Yaani badala wapambane washinde wao sasa hivi wako bize kugoogle picha za vurugu na watu kukatwa mapanga ili kutumia Mange
 
Kwa nilichokiona jana kwenye kampeni za mwisho mwisho za uchaguzi Kinondoni inabidi Mtulia aanze kuangalia mambo mengine ya muhimu kama kutafuta suti ya kuapishwa na vitu vingine awaachie wana Kinondoni wamalize kwenye masunduku ya kura.

Pia nitumie uzi huu huu kumpongeza Dk Freeman Mbowe kwa intelijensia yake ya hali ya juu.

Mbowe alipopata taarifa za uhakika kuwa Kinondoni hawana chao ilibidi achukue kundi la watu 200 kwenda kutaka kuonana na mkurugenzi NEC,watu 200 wanatakana kuonana na mtu mmoja,who does that?:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::D

Mbowe anawaanda kisaikolojia vijana kwamba wameibiwa kura.

Kila la kheri uchaguzi mdogo Kinondoni na Siha.
who does that?:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::D
 
Umeamua kupiga kampeni humu, ccm bhana, endeleeni kuiba kura na kuwahadaa wananchi Mwisho wenu utafika tu
 
Na tumeshaandaa jeshi coz lazima haya majimbo ya Siha na Kinondoni yarudi chini ya chama chetu cha mauaji ccm.

Atakaye pinga tunamTundu Lissu mchana kweupeee.
 
d55197b688fd072068ef590235c23553.jpg
 
Back
Top Bottom