Kwa hii hela nitapata simu gani nzuri?

Kwa hii hela nitapata simu gani nzuri?

kiboboso

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
9,351
Reaction score
12,686
Habari za muda huu wakuu?

Mdogo wangu wa kike ananisumbua anataka nimnunulie smart phone.
Nimemuahidi nitamnunulia, ila naomba mnishauri ni smart phone gani nzuri nzuri naweza nikamnunulia dogo kwa Tsh 250,000.?
 
Utapata tecno W 5 yenye finger print kwa 250k,utapata sumsung J2 kwa 235k,utapata W3 kwa 150k,utapata tecno L9 kwa 245-25Ok (sio L9plus lakin kumbuka)utapata infinix kwa 200-250,utapata tecnoL8 lite kwa 180k,,hiz tecno nilizokuambia hapa kumbuka tu ukiitoa W3 zote zinakaa chaj vzr sana. Tchao
 
Ngoja nizikague kwa mtandao
 
Mimi nataka tecno c8 inauzwa pesa ngapi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Utapata tecno W 5 yenye finger print kwa 250k,utapata sumsung J2 kwa 235k,utapata W3 kwa 150k,utapata tecno L9 kwa 245-25Ok (sio L9plus lakin kumbuka)utapata infinix kwa 200-250,utapata tecnoL8 lite kwa 180k,,hiz tecno nilizokuambia hapa kumbuka tu ukiitoa W3 zote zinakaa chaj vzr sana. Tchao
Mkuu nielekeze nahitaji muda huu natoka kimara kuja mjini kati

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Techno w5 fingerprint iko vzr kwa hyo hela yako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom