Duuuh huyu bwana harusi alivyojibinua!!
wengine tunampango wa kufunga ndoa sa 12 asubuhi kahawa kashata baada ya hapo fantashiru fil ardh.. hakuna kiduku.. kigodoro.. pilau wala sherehe
Niliuzuliaha harusi ya saa 11 alfajir niliboreka
Ndio kiliwazenza hio, inakuwa kama anaokota halafu anapelekeka juu ana vunja
mkuu ni hatare aiseeeee
Huyo Bi Harusi inaonesha anajua sana kukata mauno
Teh teh.....na mimi ilikuwa ndo staili yangu lol
Lakini inaweza kuvunjika hata kabla ya Jumamosi ijayo..Ni Wabongo Imefanyika Jana Dada
😕😕😕😕😕