Ndio harusi inavyotakiwa......sio kuleta pozi nyiingi hadi mnaboa...
Ni Wabongo Imefanyika Jana Dada
Ndio harusi inavyotakiwa......sio kuleta pozi nyiingi hadi mnaboa...
Si na yetu itakua hivyo?😀
Ni Wabongo Imefanyika Jana Dada
Bwana Harusi Na Bibi Harusi Full Kucheza Viduku Vya Kufa Mtu Yaani Ni Furaha Tele Isiyo Na Kifani
mchepuko kuna harusi?
si naona una waume humu au unawazuga?
Duuuh huyu bwana harusi alivyojibinua!!
Huyo Mtoto Anaonekana Mtamu Sana Aiseeeee
Si na yetu itakua hivyo?😀
Itakuwa lini? Ningependa kuchangia!
Muulize bwana harusi