mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Baada ya hatua ya leo kupita, hatua iliyobaki ni Baraza la maseneta 100 kupiga kura na ili Rais Trump aondolewe Ofisini 2/3 ya hao wajumbe 100 ambao ni sawa na Wajumbe 67 wamkatae.
Kimahesabu ni kwamba Republican ina wajumbe 53, Democrat wajumbe 45 pia kuna wajumbe 2 jumla ndio hao 100.
Ili Democrat imtoe Rais Trump inatakiwa ipate uungwaji mkono wa wajumbe 20 kutoka Republican kinyume chake Rais Trump atasalia White House.
Tusubiri maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app