Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Kuweni Wazalendo, tumieni vya Kitanzania, karibuni TTCL!
Kampuni yenyewe si wazalendo sembese sisi watumiaji?
Kuweni Wazalendo, tumieni vya Kitanzania, karibuni TTCL!
Voda wanajiskia sana, kisa wana wateaja wengine.....shame on you voda....hamjitambui eti ehe?
Aiseee na mimi hapa nina hasira Ghrrrrrh!!!@##? nimenunua kifurushi cha wiki cha Tsh 3,500/- nimepiga simu moja tena ya VODA haizidi hata dakika mbili WAMELAMBA HELA ZOTEEE! Ukipiga simu Customer Service Dorooorooooorrrr! Agrrrrrrh[/QUOTE
Kiongozi angalia ama muulize huyo uliyempigia na ukakatwa, kama namba yake amei-divert hapo cheka haitumiki, unakatwa salio lako la kawaida kumpigia.
mimi voda naitumia kama landline kupokea tu, airtel kweli yatosha , napiga mpaka nagawia majirani
Yaani hasara mlionisababishia kwa network yenu kugoma wiki2 sasa sitasahau,leo ndio baraa kabisa,nimechanachana kalaini kenu tusijuane tena,ata kutoa taarifa shida ni nini mpo tu uko maofisini mmekodoa mimacho utazani mjusi kabanwa na mlango.

Nilishaacha kutumia voda kitamboo. Na ile siku ilivyozama mv spice ndio walizidi kuniongezea chuki. Nashangaa nikiona mtu anatumia voda hata phonebook yangu sisave no ya mtu anayetumia voda.
Kazi ni kwao.
Yawezekana sehemu ulipo au aina ya smu yako inabagua mitandao.Yaani hasara mlionisababishia kwa network yenu kugoma wiki2 sasa sitasahau,leo ndio baraa kabisa,nimechanachana kalaini kenu tusijuane tena,ata kutoa taarifa shida ni nini mpo tu uko maofisini mmekodoa mimacho utazani mjusi kabanwa na mlango.