Kwa heri voda,tusijuane

Kwa heri voda,tusijuane

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Yaani hasara mlionisababishia kwa network yenu kugoma wiki2 sasa sitasahau,leo ndio baraa kabisa,nimechanachana kalaini kenu tusijuane tena,ata kutoa taarifa shida ni nini mpo tu uko maofisini mmekodoa mimacho utazani mjusi kabanwa na mlango.
 
pole sana mkuu.......kwani upo wapi.....mbona net ipo poa tu......?
 
Yaani hasara mlionisababishia kwa network yenu kugoma wiki2 sasa sitasahau,leo ndio baraa kabisa,nimechanachana kalaini kenu tusijuane tena,ata kutoa taarifa shida ni nini mpo tu uko maofisini mmekodoa mimacho utazani mjusi kabanwa na mlango.

Amia airtel.
 
kweli voda maudhi matupu,siku zote hizi tunahangaika,si kupiga simu,M-pesa yote balaaa! Kagueni mitambo yenu bana.
 
Nilishaacha kutumia voda kitamboo. Na ile siku ilivyozama mv spice ndio walizidi kuniongezea chuki. Nashangaa nikiona mtu anatumia voda hata phonebook yangu sisave no ya mtu anayetumia voda.
Kazi ni kwao.
 
bila shaka wanabiashara "nyingine" hii ya vijisimu wanazugia tu!voda hovyo kweli
 
Voda wanajiskia sana, kisa wana wateaja wengine.....shame on you voda....hamjitambui eti ehe?
 
aisee hata mimi voda basi sasa! nafikiri wametosheka. Hivi kuhamisha hela laini zingine mnakatwa kama vile mnatoa?
Mimi nishavumilia mda wa kutosha, nikiweka cheka halafu iishe nizubae kidogo to nakatwa salio ajabu!!
Nimekua na 12 years sasa ila baaaaasi hakatwi mtu hapa!!
 
Du umeniamsha usingizini jana nimetuma 405,000/= wakapururua 6500/ wezi wakubwa hao hawana tofauti na yule aliyeuza twiga wetu jana tulimtoa mbio kwenye mkutano. Tehe tehe tehe.
 
Aiseee na mimi hapa nina hasira Ghrrrrrh!!!@##? nimenunua kifurushi cha wiki cha Tsh 3,500/- nimepiga simu moja tena ya VODA haizidi hata dakika mbili WAMELAMBA HELA ZOTEEE! Ukipiga simu Customer Service Dorooorooooorrrr! Agrrrrrrh
 
Angalia vizuri salio maana vifurushi unaangalia salio kwa kupiga *147#.
Ila ukweli ni kuwa siufagilii kbs mtandao wa voda.
Bei zao zipo juu sana kuanzia bundle za internet hadi mpesa.
Ni kampuni nyonyaji sana
 
Na unaweza kuweka bundle na network ikakorofisha usitumie kbs bundle hd ina expire.
Hawarudishi hela wala bundle
 
Yaani hasara mlionisababishia kwa network yenu kugoma wiki2 sasa sitasahau,leo ndio baraa kabisa,nimechanachana kalaini kenu tusijuane tena,ata kutoa taarifa shida ni nini mpo tu uko maofisini mmekodoa mimacho utazani mjusi kabanwa na mlango.

Mkuu kwan upo shm gani hapa tz?
 
Nilishaacha kutumia voda kitamboo. Na ile siku ilivyozama mv spice ndio walizidi kuniongezea chuki. Nashangaa nikiona mtu anatumia voda hata phonebook yangu sisave no ya mtu anayetumia voda.
Kazi ni kwao.

Kweli mkuu kile kitendo ni cha kulaani vikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom