Ni jambo la kufurahisha sana yaani ndani ya miezi michache tumempata MS na Mwita25, naamini na wengine watafuata. Mavuno ya Igunga yatawaamsha wengi sana, wameshaonyesha njia hii pamoja na Mabolozi 18 wa Igunga! Thanks Mwita25 na MS na wengine wanaofuata! Tumeshindana kwa hoja na tumeshinda, wao walishindana kwa silaha na wameshindwa!
Umeniquote vibaya Mwita25!
Sikumaanisha jinsia nyingine ni wanawake! Unaweza ukawa na viungo vyote vya kiume lakini usiwe mwanaume! Hope u have now understood what I meant in ma previous post!
Yaelekea hawajakuacha, umeanza na Wassira, sasa hivi umekuja JF!
Umejuaje kama huku JF wapo? Wameshakujaribu? Tupe experience yako plz! Mayb tunaweza kujifunza toka kwako