Kwa hali tuliyonayo, ni watu wawili tu ambao wangekuwa tayari kuingia barabarani.

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,182
2,015
1. Godbless Lema.
2. Tundu Lissu
Hawa ndo watu pekee ambao sina shaka nao kwa wanachonena, huwa wanatenda, na huwa wanakubali au kukataa toka moyoni na damuni mwao.

Namwombea atoke salama Kisongo Ili ukombozi wa kweli uanzie Arusha kama ambavyo huwa anaahidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom