Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote.

Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha.

La pili ni kwamba wapinzani wa nchi hii nao wamejaa chuki dhidi ya serikali inayomaliza muda wake au kuendelea na muda wake, kwa sababu mbali mbali ikiwemo mwenyekiti wa CHADEMA kuwepo rumande.

La tatu ni kwamba wakuu wa dini hasa TEC( kama wanaweza kuwapatia ukumbi waumini wa gwajima aliyofungia kanisa lao ) , walokole kama kina GWAJIMA , hawana amani moyoni kiasi cha kuipenda serikali inayomaliza muda wake na pengine kuendelea hapo baadae.

Hapo baadae Novemba 2025, kwa mpalanganyiko huu uliopo nchi itatawalika kweli? nafikiri tuahirishe uchaguzi japo siyo vyepesi au tuvae sura ya mbuzi tuendelee tumpuuze POLEPOLE ,Lakini imani yoyote huja kwa kusia neno liwe zuri au baya. Maneno ya Polepole yamejenga imani fulani kwa wananchi hasa wenye kutumia mitandao. Baada ya Oktoba itahitajika kufanya upatanisho mkubwa kwa serikali na wananchi wake
 
Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote.wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE,Wananchi hawa waweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha.la pili ni kwamba wapinzani wa nchi hii nao wamejaa chuki dhidi ya serikali inayomaliza muda wake au kuendelea na muda wake, kwa sababu mbali mbali ikiwemo mwneyekiti wa chadema kuwepo rumande .la tatu ni kwamba wakuu wa dini hasa TEC( kama wanaweza kuwapatia ukumbi waumini wa gwajima aliyofungia kanisa lao ) , walokole kama kina GWAJIMA , hawana amani moyoni kiasi cha kuipenda serikali inayomaliza muda wake na pengine kuendelea hapo baadae.

hapo baadae novemba 2025 ,kwa mpalanganyiko huu uliyopo nchi itatawalika kweli? nafikiri tuahirishe uchaguzi japo siyo vyepesi.au tuvae sura ya mbuzi tuendelee tu.tumpuze POLEPOLE ,Lakini imani yoyote huja kwa kusia neno liwe zuri au baya.Maneno ya Polepole yamejenga imani fulani kwa wananchi hasa wenye kutumia mitandao. Baada ya octoba itahitajika kufanya upatanisho mkubwa kwa serikali na wananchi wake
Ndg yangu umenena vyema kabisa na umenikumbusha maandiko matakatifu. Hata wakati wa Nuhu mwanadamu alionywa na hakusikia na hatimaye likatukia. Daniel alijitahidi kumwelimisha mfalme lakini hakuwa tayari kusikia na likatukia. Mussa mwenyewe alimuonya sana mfalme kwa mda na ishara zikaja lakini haikuwa rahisi kutii ...saa nyingine Mungu huwa ana kusudi lake, waache washupaze shingo wasipoangalia ipo siku shingo zitalemaa kabisa hadi mwisho wa uhai
 
Ndg yangu umenena vyema kabisa na umenikumbusha maandiko matakatifu. Hata wakati wa Nuhu mwanadamu alionywa na hakusikia na hatimaye likatukia. Daniel alijitahidi kumwelimisha mfalme lakini hakuwa tayari kusikia na likatukia. Mussa mwenyewe alimuonya sana mfalme kwa mda na ishara zikaja lakini haikuwa rahisi kutii ...saa nyingine Mungu huwa ana kusudi lake, waache washupaze shingo wasipoangalia ipo siku shingo zitalemaa kabisa hadi mwisho wa uhai
Mara zote mioyo yao inafanywa kuwa migumu/mizito ili maandiko yatimie!
Acheni twende nao hivyo hivyo! Wakibadilika hoja zitapungua!
 
Back
Top Bottom