Kama Chama Changu ninachokipenda tujipange sana 2020 kwa kweli huku mitaani mambo siyo mazuri kabisa. Wananchi wanalalamika sana kuhusu huduma za Jamii. Wanasema kuwa mbona fedha zinakusanywa lakini hawaoni huduma za jamii kama zinatekelezwa. Nenda Halmashauri fedha haziendi kulingana na bajeti, miradi michache tu ndiyo inayotekelezwa,watumishi wamekata tamaa. Kwa kweli tuanze kujipanga dalili huko mbeleni siyo mazuri.