Sjaelewa unamaanisha hasa kitu gan
Sjaelewa unamaanisha hasa kitu gan
huwa mkona ujinga sana! mkikosa hoja ya kudebate na wakenya huwa mnaleta upuuzi kama huu hapa JF...hawa waresh nini wa wapi?
leta wa tz nami nilete wetu...hii ni debate ya ujinga hata nina aibika lakini lazma mtakoma...leta moja tuone ila usichukue tena ethiopia
leta wa tz nami nilete wetu...hii ni debate ya ujinga hata nina aibika lakini lazma mtakoma...
how can you be sure that Diamond is a tanzanian? maybe coz he was born in tz... wewe tumia akili wacha maswali ya ujinga...And how can we be sure kwamba hao ni kenyans??
Tuwekee Wasichana na vijijini sio hawa maselebrities mpaka waingie Saloon ndio wapige Pichahuwa mkona ujinga sana! mkikosa hoja ya kudebate na wakenya huwa mnaleta upuuzi kama huu hapa JF...hawa waresh nini wa wapi?
hakuna shida ntakuletea wale wakenya wasiojulikana hata kidogo...alafu wa tz ndio huwa hawaendi salon?yaani mna upungufu wa kufikiria...hamna hoja...Tuwekee Wasichana na vijijini sio hawa maselebrities mpaka waingie Saloon ndio wapige Picha