Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,987
- 24,334
Mwanamke anakula kilo moja ya nguruwe?Kilo mbili uongo! Kilo 1 nafuta yote sibakishi hata mfupa!
Kama mtu anataka kunitoa out asijisumbue kunipeleka hotel
Atafute chimbo la kitimoto tupige zetu na ugali na maji ya baridiiii
Niunganishe nao bas hao wanawake....maana naokutana nao tukizinguana kidogo anakunywa pombe anakuja ghetto kuniuliza "nlikuwa naacha wanangu walale wenyewe nakuja kwako Leo unaniacha bila sababu?"Kuna member wa kike alinipa password yake nitumie id yake alijifanya mwanaume, niliyokutana nayo duh.!! πΉπΉπΉ
Wanawake wanataka mihela ile ki barter system nipe nikupe
Kuna baadhi ya wanawake walafi we acha tu , kwao bujeti ni zero sanasana ni wale wanawake vibonge hawajuagi bajeti Hawa, kula samaki kilo nzima Kwa single meal wao ni kawaida! Mpaka unashangaa umemuacha peke yake kaamua kula nyama , dagaa samaki , wali ugali , mayai , maharagwe duh ,Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Haya bhana,,,,!!!!Na kama si mraji mwanaume pia anahisi wamdanganya.....kumbe wewe unataka kula kichwa chake cha chini ushibe uji wenye chumvi then ujirudie home kazi kesho ziende vizuri bila stress
Aichee hay hi ni nzuri nakulaga kukumzima kaka bites tu inaisha yotekula ni kitu gani kwenye real love, halafu kumuacha mpenzi kwa sababu ya msosi ni dalili ya uchoyo.
kama ni mimi ye apige menu kadri atakavyo.....!!!!
HApo sawa mie napendaga sana kula ndio hobby yangu ila huu unene sio kwa ajili yakulaKiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kama ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.
Utakula then utashiba imeisha,,,,!!!!Aichee hay hi ni nzuri nakulaga kukumzima kaka bites tu inaisha yote
πHaya bhana,,,,!!!!
πNdio! Nina kg 90Mwanamke anakula kilo moja ya nguruwe?
Mimi si Mtabiri. Ila wewe ni Tukunyema.
Hizo zitaisha zote....ngoja akukamie Vincenzo Jr ...hilo ni zoezi toshaπNdio! Nina kg 90
Mimi nikishiba huwa nafunga!Kiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kama ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.
π€£ππHizo zitaisha zote....ngoja akukamie Vincenzo Jr ...hilo ni zoezi tosha
Zingatia neno rafiki yako....yupo sahihi....Hii ni habari na hoja mchanganyiko mbona umeiweka kwenye jukwaa la mapenzi?
π π π πKilo mbili uongo! Kilo 1 nafuta yote sibakishi hata mfupa!
Kama mtu anataka kunitoa out asijisumbue kunipeleka hotel
Atafute chimbo la kitimoto tupige zetu na ugali na maji ya baridiiii
π π π πNa kama si mraji mwanaume pia anahisi wamdanganya.....kumbe wewe unataka kula kichwa chake cha chini ushibe uji wenye chumvi then ujirudie home kazi kesho ziende vizuri bila stress
Unene gani sio wa kula Tena au ndo kujifarijiHApo sawa mie napendaga sana kula ndio hobby yangu ila huu unene sio kwa ajili yakula
Sio wa kulaUnene gani sio wa kula Tena au ndo kujifariji
Wa nini sasaSio wa kula