Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Kilo mbili uongo! Kilo 1 nafuta yote sibakishi hata mfupa!
Kama mtu anataka kunitoa out asijisumbue kunipeleka hotel
Atafute chimbo la kitimoto tupige zetu na ugali na maji ya baridiiii
Na kama si mraji mwanaume pia anahisi wamdanganya.....kumbe wewe unataka kula kichwa chake cha chini ushibe uji wenye chumvi then ujirudie home kazi kesho ziende vizuri bila stress