Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Mi akisha pima wife inatosha.
Sasa kama dawa hakuna nipime ili iweje ??
Mi akisha pima wife inatosha.
Kupima kwawafaa wanawake,Mwanaume mzima unaenda kupima HIV? mambo ya kike hayo.
Pole sana Mkuu ni hali ya kawaida, wengine woga undo unatufanya tusipimeMajibu sio mchezo,mimi nilipima chuoni nikakutwa nao basi pale nilijikaza nikatoka kwenye kibanda chao na tabasamu nikatafuta chakula na maji nikaingia rum,nikala alafu nikaanza kulia mpaka nikaishiwa nguvu..dah
Pole sana Mkuu ni hali ya kawaida, wengine woga undo unatufanya tusipime
Majibu sio mchezo,mimi nilipima chuoni nikakutwa nao basi pale nilijikaza nikatoka kwenye kibanda chao na tabasamu nikatafuta chakula na maji nikaingia rum,nikala alafu nikaanza kulia mpaka nikaishiwa nguvu..dah