gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Kwa kauli iliyotolewa na M.tatiro mitandaoni kutokana na tukio la uvamizi wa kikao cha CUF ya Maalim S.eif jana inawezekana upinzani nchini ni bosheni?
Zipo post zinazagaa humu kwamba. Mt.atiro amepenyewezewa habari kwamba waliovamia kikao cha jana ni watu wa system na kwa kauli yake ni dhahiri kwamba mnyukano ndani ya CUF system inahusika?.
Mre.ma wakati ule anaingia NCCR watu hawakuelewa chochote lakini leo watu wanashangaa ukaribu .wa Mrema na serikali.
Mwenyeketi wa NCCR wa sasa bwa.na Mbatia kwa mara ya kwanza kwenda bungeni aliteuliwa ubunge na JK nalo ni jambo liliwatia wengi shaka.
Watu waliongea mengi kuhusu ZZK na chama chake na uhusika wake na system lakini leo watu wanaona miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho bwana k.itila amekula shavu serikalini
S.laa nae halikadhalika wakati ule anahamia CDM alijenga imani kubwa kwa wana CDM,lakini tuliona na kusikia mengi mara baada ya kikao cha pale serena.
Juzi niliona post moja humu ikishangaa ukimya wa Mh .Mbowe juu ya saga la kupotea msaidizi wak.e(beni),muandishi aliuliza kwa ukimya w.a mbowe kwenye saga. la ben je na yeye ni mtu wa system?
Kwa hali hii inawezekana Tz hatuna upinzani bali tuna CCM na branch za CCM