Kwa hali hii hata CHADEMA hawatakubali

Kwa hali hii hata CHADEMA hawatakubali

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,547
Reaction score
12,800
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi

Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na wameunda G55. Mkuu wa polisi, jesh, wakurugenzi i nk wote watakuwa wapya

Sasa waliopo wakubali kuondoka na kukosa haya.

Hamna atakaekubali kuondoka kirahisi rahisi.

No reform no election haitafanikiwa. Mpaka siasa iwe kazi ya kujitolea kama mjumbe wa nyumba 10 hapo kila mmoja ataondoka bila ya kura
 
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake

6. Wakurugenzi

Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na wameunda G55
Mkuu wa polisi, jesh, wakurugenzi i nk wote watakuwa wapya

Mbona inawezekana kwenye nchi nyingine. Kwa nini isiwezekanr Tanzania. MaZCCM ni marafi tu. Utafikiri kuwa nchi ni yao peke yao.
 
Asante kwa kuitia nguvu hoja ya kutaka mabadiliko. Isipokuwa mabadiliko yanakwamishwa na hofu ya waliopo madarakani kupoteza ugal.
 
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake

6. Wakurugenzi

Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na wameunda G55
Mkuu wa polisi, jesh, wakurugenzi i nk wote watakuwa wapya

Sasa waliopo wakubali kuondoka na kukosa haya.

Hamna atakaekubali kuondoka kirahisi rahisi.
No reform no election haitafanikiwa. Mpaka siasa iwe kazi ya kujitolea kama mjumbe wa nyumba 10 hapo kila mmoja ataondoka bila ya kura
Kumnyang'anya tongue mtu sio kazi RAHISI mkuu
 
Hakuna ukweli
Hakuna askari atakayefukuzwa kazi bali kuna wattakaopanda vyeo na watakaobadilishiwa majukumu na suala la watu kubadilishwa huwa lipo tu siku zote watu hubadilishwa nafasi zao pamoja na kwamba ccm bado ipo madarakani
 
Wanasema muda wa kufanya marekrbisho ya sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi hautoshi ( simbachewene) anayetajwa kuja kuwa wazir mkuu.
Lakini muda wa kumsifia na kumtukuza SAMIA upo tena wa kutosha.
Ukiwa ccm tu tayar unakuwa na matatizo kichwani
 
Kuna ukweli eti...
 
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi

Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na wameunda G55. Mkuu wa polisi, jesh, wakurugenzi i nk wote watakuwa wapya

Sasa waliopo wakubali kuondoka na kukosa haya.

Hamna atakaekubali kuondoka kirahisi rahisi.

No reform no election haitafanikiwa. Mpaka siasa iwe kazi ya kujitolea kama mjumbe wa nyumba 10 hapo kila mmoja ataondoka bila ya kura
 
Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi

Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na wameunda G55. Mkuu wa polisi, jesh, wakurugenzi i nk wote watakuwa wapya

Sasa waliopo wakubali kuondoka na kukosa haya.

Hamna atakaekubali kuondoka kirahisi rahisi.

No reform no election haitafanikiwa. Mpaka siasa iwe kazi ya kujitolea kama mjumbe wa nyumba 10 hapo kila mmoja ataondoka bila ya kura
Kuna muda hata saa mbovu inasema ukweli
 
Back
Top Bottom