Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,210
- 40,183
Sio lazima uumizwe ndio ujue ukweli. Tunaishi na ndugu, jamaa na marafiki kwaiyo tunaona yanayoendelea kwenye jamii hata kama hayajatukuta sisi binafsi. Mfano wimbi la wakina dada wa kisasa ku-commercialized mahusiano ya kimapenzi(indirect prostitution) hata kama haupo kwenye mahusiano unaona kinachoendelea.Yes sbb wameumizwa basi wanadhani wanawake wote wako sawa
Kitu ambacho sio
Mi naamini Kuna wanaume wazuri tu japo nimepitia pia mikono ya wabaya ila hii Hina maana kuwa wazuri hawapo
100,000,000 if u can show me100 of themHuu ni uongo
Kuna wanawake Hawana hayo mambo wameridhika
Pamoja na hayo yote Bado wapo watu wazuri,Bado zipo ndoa nzuri, mahusiano mazuri!Sio lazima uumizwe ndio ujue ukweli. Tunaishi na ndugu, jamaa na marafiki kwaiyo tunaona yanayoendelea kwenye jamii hata kama hayajatukuta sisi binafsi. Mfano wimbi la wakina dada wa kisasa ku-commercialized mahusiano ya kimapenzi(indirect prostitution) hata kama haupo kwenye mahusiano unaona kinachoendelea.
Wimbi la wanawake duniani kote kutumia loopholes za sheria ya ndoa kujipatia mgao wa mali kupitia talaka. Sio lazima ufunge ndoa na kutalakiana na mkeo ndio uone hicho kitu.
Mwerevu anajifunza kupitia makosa ya wengine na kufanya maamuzi sahihi. Mjinga anajipeleka kwenye hatari na mindset kama yako at the end he realize hi is not special he was just arrogant and stubborn
Wapo wengi tu both wanawake na wanaume wazuri Bado wapo100,000,000 if u can show me100 of them
Wewe siyo wa kusababisha nitoke hapa nilipo nikachekee chooni π€£π€£π€£ siyo kwa replies hizi π
π€£π€£π€£wameamua wasiwe wanafkiWewe siyo wa kusababisha nitoke hapa nilipo nikachekee chooni π€£π€£π€£ siyo kwa replies hizi π
Nionyeshe ndio nitaminiWapo wengi tu both wanawake na wanaume wazuri Bado wapo