Hivi hamuoni ajabu kwamba sehemu ambazo JK anashinda, kama Singida, kila kituo wapiga kura wapo kwenye idadi ya maelfu na JK anashinda kwa 90%. In addition to that, huko Singida inasemekana masanduku ya kura hayapelekwi katika vituo vikuu vya kuhesabia katika wakati unaotakiwa, ikidaiwa kwamba ni kutokana na ukubwa wa mkoa, this is BS!! Ndugu zangu wa CHADEMA makao makuu, tafadhalini sana, fuatilieni kinachotokea huko SINGIDA.