Elections 2010 Kwa flow hii ya matokeo ccm ina uwezekano mkubwa wa kushinda urais

Kaduguda

JF-Expert Member
Aug 1, 2008
724
641
Wakuu nimekuwa nikifuatilia namna ambavyo matokeo yanaripotiwa japo si official CCM inaonekana kuweza kutetea kiti cha urais. Kwa nini,Zanzibar inachuana na CUF zaidi kwani CHADEMA haionekani kabisa. Mikoa ya kusini na haswa Lindi CUF wamejitwalia kura nyingi na kuiacha CCM na CHADEMA kwa mbali sana. Lakini ukichanganya kura karibu zote haswa Tabora ambako CCM yaonesha kupeta kwa aslimia kubwa, ni dhahiri wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindi.

Kwa ubunge, upinzani umejitwalia majimbo si haba!!! Lakini upande wa urais nina mashaka kama tutawin - CHADEMA!!

Anyway lets keep our fingers crossed!! Mungu yupo!!!!!!
 
KADUGUDA
ccm wamejificha sasa wanasubiri how to attack through its massive majestic plumbing
TUNAWASUBIRI UWANJANI
 
Ntake radhi mkuu nshasema mie CHAMA CHA MAFISADI siko kabisa. Na nilishafanya kweli asubuhi kwa Dr. wa Ukweli. Ila hii flow ya matokeo inanipa walakini kidogo. Hawa jamaa hata tukiwashinda sio sana, ila wao wanatuacha kwa mbali. Angalia walichofanya Tanga na Tabora. Lakini pia CUF wanatuharibia hii mechi kwa kutupunguzia ushindi. Maana mwisho wa siku ni mambo ya Goal Difference ndo yatacheza hapa na sio umeshinda majimbo au kata ngapi!!!
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia namna ambavyo matokeo yanaripotiwa japo si official CCM inaonekana kuweza kutetea kiti cha urais. Kwa nini,Zanzibar inachuana na CUF zaidi kwani CHADEMA haionekani kabisa. Mikoa ya kusini na haswa Lindi CUF wamejitwalia kura nyingi na kuiacha CCM na CHADEMA kwa mbali sana. Lakini ukichanganya kura karibu zote haswa Tabora ambako CCM yaonesha kupeta kwa aslimia kubwa, ni dhahiri wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindi.

Kwa ubunge, upinzani umejitwalia majimbo si haba!!! Lakini upande wa urais nina mashaka kama tutawin - CHADEMA!!

Anyway lets keep our fingers crossed!! Mungu yupo!!!!!!
Sehemu kubwa ya nchi Dr Slaa anategemewa kupata ushindi.

Kwenye sehemu chache JK anategemewa kuibuka kwa tofauti kubwa dhidi ya Dr Slaa.
Hata hivyo kwenye sehemu hizi hizi ambazo JK ana nguvu nyingi, Prof Lipumba pia ana-command a good following - hivyo hawa wawili watagawana kura zao, out of which Dr Slaa reaps the spoils overall.
Just see how it pans out!
 
Hivi hamuoni ajabu kwamba sehemu ambazo JK anashinda, kama Singida, kila kituo wapiga kura wapo kwenye idadi ya maelfu na JK anashinda kwa 90%. In addition to that, huko Singida inasemekana masanduku ya kura hayapelekwi katika vituo vikuu vya kuhesabia katika wakati unaotakiwa, ikidaiwa kwamba ni kutokana na ukubwa wa mkoa, this is BS!! Ndugu zangu wa CHADEMA makao makuu, tafadhalini sana, fuatilieni kinachotokea huko SINGIDA.
 
Kwa matokeo kama haya ndo ninapofikiria kwamba ushindi kwa CHADEMA unaweza kuwa wa taabu sana. Maana hiyo gap wanayotupiga ni kubwa mno and it will cost us at the end! Please viongozi wa CHADEMA muwe makini huko SINGIDA. 90% WIN ??????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom