Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 641
Wakuu nimekuwa nikifuatilia namna ambavyo matokeo yanaripotiwa japo si official CCM inaonekana kuweza kutetea kiti cha urais. Kwa nini,Zanzibar inachuana na CUF zaidi kwani CHADEMA haionekani kabisa. Mikoa ya kusini na haswa Lindi CUF wamejitwalia kura nyingi na kuiacha CCM na CHADEMA kwa mbali sana. Lakini ukichanganya kura karibu zote haswa Tabora ambako CCM yaonesha kupeta kwa aslimia kubwa, ni dhahiri wanaonekana kuwa na mwelekeo wa ushindi.
Kwa ubunge, upinzani umejitwalia majimbo si haba!!! Lakini upande wa urais nina mashaka kama tutawin - CHADEMA!!
Anyway lets keep our fingers crossed!! Mungu yupo!!!!!!
Kwa ubunge, upinzani umejitwalia majimbo si haba!!! Lakini upande wa urais nina mashaka kama tutawin - CHADEMA!!
Anyway lets keep our fingers crossed!! Mungu yupo!!!!!!