Kwa fedhea hii ntarudije home..

Kwa fedhea hii ntarudije home..

Rudi tu. Mama yako atakuwa ameshakulilia sana. Mwambie ulikuwa ujinga na Utoto mwingi
Usikute tena kafa. Rudi tu.
 
Kweli eeh ...da wacha nijaribu...walau wewe umeiona fedhea yangu na kunifariji ....kuna wengine nimechezea bongo zao wakataka ning'oa magigo niwekewe ya dog..

Rudi tu. Mama yako atakuwa ameshakulilia sana. Mwambie ulikuwa ujinga na Utoto mwingi
Usikute tena kafa. Rudi tu.
 
Kuna watu wana akili za ajabu!! Yaani unaweza mtungia mamaako upumbavu kama huu? Kweli laana ikaribu
 
Back
Top Bottom