Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,893
2,000
Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke.

Wasichana 56 wanafariki dunia kila siku kwa ajili ya matumizi ya kipande ki1 cha pedi ya kuwa inasababsha kansa katika kibofu na kizazi.

Jaribu kutmia vitambaa na iwapo unatumia pedi basi badili kila baada ya masaa5.

Kwasababu kadiri muda unavozdi damu hubadilika na kuwa ya kijani ambayo hugeuka fangasi na kuingia katika kizazi.

Share ujumbe huu kwa wanawake wote unaowapenda.

Dr. Ambiele.......
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,757
2,000
Mmh kitambaa jaman si salama. Kama mtu kashindwa badilisha ped ndan ya masaa matano hicho kitambaa si atashinda nacho kutwa nzima.
 

Honey Faith

JF-Expert Member
Aug 21, 2013
15,809
2,000
Inabidi tuongee na wizara ya afya ili tupunguziwe bei ya pedi atleast wafanye kuuza elfu moja ili kila mtu awe na uwezo wa kununua hasa Human Cherish ndio zipunguzwe bei wote tuweze kuzivaa......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom