Kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke

Inabidi tuongee na wizara ya afya ili tupunguziwe bei ya pedi atleast wafanye kuuza elfu moja ili kila mtu awe na uwezo wa kununua hasa Human Cherish ndio zipunguzwe bei wote tuweze kuzivaa......
Biashara za watu izo Jaman
 
kutumia pedi kwa masaa matano ni sawa kabisa tusiwe wabahili, kutumia vitambaa mkuu hapana hadi nimesisimka ila asante kwa ushauri
Ila bibi zetu walitumia sana hivyo vitambaa na ndio mana walieupukana na maradhi au matatizo mengi ya uzazi, Na pia kwa wao ilikuwa Rahisi sabab wengi walikuwa ni wamama wa nyumbani kwahiyo kikichafuka anaenda kufua na kuanika na kubadilisha sasa hivi ni tofauti.

Wamama/wadada wengi wako makazini itawawia vigumu, ila hayo hayo matumizi ya pedi masaa ni mengi mno inategemea na utokwaji wa damu yenyewe, kwa ile siku ya kwanza kama haitoki nyingi basi masaa 4 ni bora na ikiwa inatoka nyingi masaa 3 ni bora Zaidi. masaa 5 ni kwa ile siku ya mwisho ambayo haitoki nyingi. ILA SI MBAYA SIKU ZA WEEKEND UKIWA HOME KUTUMIA VITAMBAA Ha ha ha ha ha vile vinafuliwa na kurowekwa na maji ya uvuguvugu au moto na vinapigwa na jua yani usafi wake wa hali ya juu kama mvivu mvivu ni bora kuendelea na pedi...MANA WADADA WA SASA CHUPI TU, HAZIPIGWI NA JUA SIKWAMBII VITAMBAA VIKOSE JUA KWENYE DALADALA na mitaani HAKUTAKALIKA KWA HARUFU.
 
nimekuelewa
 
kitambaa ? bora tu nilowane nikae uchi
 
Vitambaa n sawa lkn pia nadhan kuna wengine damu huwa nyingi sana c utajikuta umechafuka jaman
Kubadilisha pedi n sawa kabisaa
Mm hufanya hvyo nabadili mara tatu kwa cku
 
Back
Top Bottom