Kwa Dar ni wapi nitapata huduma ya massage?

prophet_tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
176
Reaction score
303
Habari za mda huu wana JF najua humu kuna wajuvi wengi humu nikasema siyo vibaya niwashirikishe.

Kutokana na kazi zangu za kusafiri mara kwa mara najikuta nachoka sana mwili wote unauma siyo mgongo siyo kiuno yani nakuwa mzito sana nikasema ngoja niwashirikishe wadau mnipe connection ni sehem gani nzuri naweza pata huduma ya massage ili niwe fresh.

NB: Sitegemei luga mbaya. Kama Huna ushauri just kuwa msomaji wa comment za wadau namini hutopungukiwa na chochote just kiroho safi.
 
Heaven beauty spa upanga au the bluebelly spa Victoria
 
MKUU INGEKUWA VEMA SANA KAMA UNGETAJA ENEO ULILOPO KWA SASA ILI IWE RAHISI KUELEKEZWA MASSAGE YA KARIBU ZAIDI
 
Mkuu kweli lengo ni massage tu au kuna nyongeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…