Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Amekutext Inbox
Ukamuuliza we nani?
Akaujibu jina
Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?
Akakujibu, nimepata kwa group
Ukachukulia poa tu
Amekuomba urafiki facebook
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua mwenyewe
Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema
Ukaweka na make-up na weave mpya.

Akakuchukua kwa ajili ya lunch
kwa hotel
Akakuagizia na soft drinks

Mkawa na muda mzuri pamoja

Akakushika mkono
Akakufanya uwe unacheka
muda wote kwa vituko vyake
Ukampenda
Ikawa kama umemjua kwa miaka
Akakuchukua kwenda kwake
Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba
Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae
Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.
Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.
Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.

Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special
Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.
Ukavua nguo
Mkafanya
Ukavaa nguo.
Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi
Akakubusu katika shavu.

Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.
♂
Akakupa Tsh 100,000

.
Ukatabasamu
na kumwambia nitakuona kesho.
Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.
Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu
Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.
Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!
Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa
, mchovu
, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima
Nusu saa baadae daktari anaingia.
Pole sana dada yangu daktari anakuambia.
Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile
.
Mimba, HIV+????
HOW??
Hauelewi
Inakuumiza sana
, hauamini.
Unaenda nyumbani.
Ukiwa na hofu kubwa.
Unaona kifo hichi hapa
Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.
DADA ZANGU NA MAMA ZANGU MSIWE KAMA HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNAMSIMAMO
ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.
SIJAKATAZA MSIAMINI WACHUMBA WA FACEBOOK na WHATSAPP ila Biblia inasema (msiamin kila roho ila zichunguzen hizo roho kama zimetokana na Mungu). Mke + mme mwema anatoka kwa Bwana

Ukamuuliza we nani?
Akaujibu jina

Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?

Akakujibu, nimepata kwa group

Ukachukulia poa tu

Amekuomba urafiki facebook

Umeangalia picha zake

Anaendesha Range

Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki

Amekutumia text inbox

Umemjibu

Amekuomba out

Mkapanga kuonana

Ukajikwatua mwenyewe

Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema

Ukaweka na make-up na weave mpya.

Akakuchukua kwa ajili ya lunch

kwa hotel
Akakuagizia na soft drinks

Mkawa na muda mzuri pamoja

Akakushika mkono

Akakufanya uwe unacheka
muda wote kwa vituko vyakeUkampenda

Ikawa kama umemjua kwa miaka

Akakuchukua kwenda kwake

Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake
Akakubusu kimahaba

Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri
Ukajisikia secure ukiwa nae

Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu
Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.

Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.

Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.

Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata
Ukajihisi ni mwanamke special

Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.

Ukavua nguo

Mkafanya

Ukavaa nguo.

Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi

Akakubusu katika shavu.

Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.

♂Akakupa Tsh 100,000

. Ukatabasamu
na kumwambia nitakuona kesho.Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.

Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu

Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.

Yupo online lakini hakujibu text yako
Ukaamua kumtext tena, hakujibu!
Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!!

Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa
, mchovu
, uzito umepungua na utando mdomoni
Ukaenda kituo cha afya
Ukapima

Nusu saa baadae daktari anaingia.

Pole sana dada yangu daktari anakuambia.

Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile
.Mimba, HIV+????