Kwa D NNE hizi a some nini

Kwa D NNE hizi a some nini

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
 
Write your reply... Human Resource Management,,, Sheria Uandishi Na Utangazaji Wa Habari,, Ila Namshauri Sana Sheria Kwa Kuwa Ina Wigo Mpana
 
Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
Jinsi ya kuiba au saloon
 
Na vp kuhusu akimaliza hiyo sheria akimaliza maswala ya kipato inakuaje
 
Sawa mkuu ubarikiwe kwa u genius uliotunukiwa ila kwa taarifa yako wezi wakubwa wa nchi hii ni watu na elimu zao
Recognize school refusal or a struggling student in your child.Child Mind Institute offers tips for parents on how to get kids back in class.
 
Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
Habari, naamini hata kama anasema atasoma chochote watakachomshauri wataalamu, yeye pia ana nafasi ya kuangalia interest zake, asije akasomea kitu ambacho akija kukifanyia kazi atahisi anateseka maisha na hapo furaha ya maisha na uhuru unakosekana.

Mfano nina rafiki yangu ambaye alienda kusomea Mambo ya usalama sasa hivi ni polisi lakini anachukia kuwa huko kwa kuwa anaona haendani na kazi hiyo.

Anyway-kutokana na uzoefu wa kazi zangu kama atakuwa na interest na mambo ya IT (akasome hiy).
Kozi ambayo hata kama hujaajiriwa unaweza kujiajiri.
Thanks!
Mwl.Hemedi
 
Chief

Ukisoma IT nisaidie apo unaweza kujiajiri na kuajiriwa katika kazi zipi na sehem zipi?

Nisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom