Hivi kweli walishindwa kumpata mshindi mmoja wa Golden Boot mpaka watoe zawadi kwa wote watatu? Mbona timu zinapokuwa na point sawa hutizamwa vigezo vyengine ili papatikanwe aliyejuu ya mwenzake?
Kuna njia nyingi ambazo zimekua zikitumika sehemu tafauti kumpata mshindi endapo wawili au nakuendlea watamaliza wakiwa na idadi sawa zimekiwemo
Kuangalia uwiano wa Assist
Kuangilia uchache wa mechi yani goal per game ratio
Kuangalia uchache wa dakika yani goal per minute ratio
Kuangali uchache wa magoli ya penalt
wengine pia kutimza umbali au nafasi za juu za timu zao
Wengine kutizama despline records
Alimradi mshindi apatikanwe. Na mara nyingi hutumiwa hizo njio moja baada ya moja ikiwa wataenedelea kulingana kwa vyengine.
Na njia ambayo ipo modern kabisa ni kutizama goal per minutes ratio.
Kuamua kutoa tuzo kwa wote ni ulaza wa hali ya juu. Hasa kwa watu ambao kama FA wanavyofahamika kuwa wapo very modern na strategical kabisa.