Kwa chama cha soka cha FA cha England


D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,074
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,074 2,000
Hivi kweli walishindwa kumpata mshindi mmoja wa Golden Boot mpaka watoe zawadi kwa wote watatu? Mbona timu zinapokuwa na point sawa hutizamwa vigezo vyengine ili papatikanwe aliyejuu ya mwenzake?

Kuna njia nyingi ambazo zimekua zikitumika sehemu tafauti kumpata mshindi endapo wawili au nakuendlea watamaliza wakiwa na idadi sawa zimekiwemo
Kuangalia uwiano wa Assist
Kuangilia uchache wa mechi yani goal per game ratio
Kuangalia uchache wa dakika yani goal per minute ratio
Kuangali uchache wa magoli ya penalt
wengine pia kutimza umbali au nafasi za juu za timu zao
Wengine kutizama despline records

Alimradi mshindi apatikanwe. Na mara nyingi hutumiwa hizo njio moja baada ya moja ikiwa wataenedelea kulingana kwa vyengine.

Na njia ambayo ipo modern kabisa ni kutizama goal per minutes ratio.

Kuamua kutoa tuzo kwa wote ni ulaza wa hali ya juu. Hasa kwa watu ambao kama FA wanavyofahamika kuwa wapo very modern na strategical kabisa.
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,815
Points
2,000
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,815 2,000
Hata assist tu wangeangalia mwenye assist nyingi
 
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
8,055
Points
2,000
Age
26
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
8,055 2,000
Wewe mmatumbi unawezaje kuwapangia taratibu wazungu ? Wewe ndio unatakiwa uwaige wakifanyacho uboreshe ligi yako, sio kila mwaka kombe lina muonekano tofauti , Ngao unaandika Community Sheld,badala ya shield, yaani wewe wakuwafundisha FA YA england taratibu za mpira?
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,074
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,074 2,000
Wewe mmatumbi unawezaje kuwapangia taratibu wazungu ? Wewe ndio unatakiwa uwaige wakifanyacho uboreshe ligi yako, sio kila mwaka kombe lina muonekano tofauti , Ngao unaandika Community Sheld,badala ya shield, yaani wewe wakuwafundisha FA YA england taratibu za mpira?
Mkuu kuwa wao ni wazungu bado sio kigezo cha kua lazima wafuwatwe, na wao kama binaadamu mapungufu wanayo.

Hili suala narejea tena ni ulaza. Mbona Champion league kiatu anapewa mtu mmoja tu hata kama mumemalizawa sawa watatu? Mbona kwenye world cup au Euro kiatu anapewa mmoja tu ?
 

Forum statistics

Threads 1,295,402
Members 498,303
Posts 31,210,709
Top