Kwa bunge hili tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa bunge hili tutafika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ofisa, Jul 26, 2011.

 1. ofisa

  ofisa JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Katika kuonyesha kuwa wao ni mabingwa wa kufoji na kugushi sahihi za watu na fani zao haipotei mwilini wabunge wamefoji sahihi ya pinda na kupeleka vimemo tofauti kwa wabunge wakidai pinda anawaita anamaongezi muhimu anataka awape ,na tabia hii ipo kwa wiki sasa mbunge anaingia na kuandika vimemo hivyo ,tujiulizeni jamani kama mbunge anacheza bungeni je tutafika?
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama mtu anweza kuandika bara ya kuchangisha pesa na sirikali ikamuona na kunyamaza kimya tu (huyu mwenzetu) unadhani kuna geni hapo? Hiki chama na wabunge wake hawako kwa masilahi ya kujenga nchi bali nikujipatia utajiri wao binafsi. Na hivyo ndivyo imekuwa ikifanyika na itaendelea kufanyika kwani wao hawana feedback mechanism. Miaka zaidi ya 40 wao ni kugonga meza na kuzomea but nothing new.
   
Loading...