Eehh!!
hahahahaaLeo umejitahidi
Daahh!!!
We si ndo umenusurika kuchunwa samsung ya laki tatu na nusu!!!
Naona akili imekukaa sawa sasa
nwanamke ni kama mkanda wa kiunoni utake usitake utauvaa tu
usimuwaze mwanamke umekuwa nani wewe, hebu ishiaaaa
Kijana badala ya kujishughulisha na kazi unakaa unawaza mademu mda woote ni mapenzi mchana kutwa unatunga tunga tu sms za mapenzi ww unamiaka 26 unakuwa na sura mzee wa miaka 76 kisa kuwazawaza mademu tu kutwa fanya kazi acha kuwaza wa mama mwanaume jitumeee
Hahaaa!!Nimekumata patamu leo!
Kila siku haupatikani! Nimekudipu wee, but hudipuki!
Haya leo nataka unitakie Easter njema afu unipe na zawadi zangu!
Na ole wako usinipe! :evil: :smash: leo siondoki hapa!
Hahaaa!!
Nimeku miss best!!
Happy Easter best,stay blessed!!
Hahaaaaa!!!Chitati!
Easter mbaya iwe nawe endapo utashindwa kunipa jawadi zangu!
Muone vile! Hajanirushia hata kipande cha keki!
Hahaaaaa!!!