Hakuna kitu ambacho huwa ckipendi kwenye mtandao kama ku- SIGN UP / REGISTER yaani huwa napata uvivu. Manake mimi ni member wa site na forums nyingi sana nna usernames nyingi na sometimes password tofauti. lakini huwa inakuwa rahisi kidogo kama kuna option ya ku sign in kutumia Gmail au FB kidogo inakuwa poa kuliko kuanza kutoa details upya kwa kila site unayotaka kujiunga. So @GEVENALITY kama kuna huo uwezekano fanya hivyo ili kutusaidia wavivu kama sisi