Kwa baridi hii Dar, ni kiwinter!

Kwa baridi hii Dar, ni kiwinter!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,551
Reaction score
28,500
Screenshot_20250805-170225_Weather&Radar Pro.jpg

Wandugu asiye na mwana sasa hivi Dar, basi ajibandike blanketi, chapa mtu!
Baridi hii si poa kabisa,
 
Kwa waliozaliwa na kukulia dar hii ni baridi ila kwa waliowahi kuishi mikoani kwenye baridi hii n hali ya kawaida.
 
Back
Top Bottom