Beberu-mpya JF-Expert Member Feb 14, 2017 216 104 Mar 24, 2017 #1 Leo hatoki labda aniambie ni nani alivamia Media siku ile.... Attachments IMG_20170324_193544_497.jpg 46 KB · Views: 72
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Mar 24, 2017 #3 Duh!!!hapo ukipata na vumbi la congo balaa lake.
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 Mar 25, 2017 #4 Unayemtafunia hivyo vitu ndiye atakayekueleza? Mbona hueleweki?
Kalamu Yangu JF-Expert Member Dec 21, 2016 1,094 1,031 Mar 25, 2017 #5 Mwanaume wa Dar.... "Ng'ombe hushiba akilishwa siku ya mnada hanenepi" Jana yake ulikula chipsi yai umejaza tomato
Mwanaume wa Dar.... "Ng'ombe hushiba akilishwa siku ya mnada hanenepi" Jana yake ulikula chipsi yai umejaza tomato
Quinine Mwitu JF-Expert Member Oct 19, 2014 5,528 6,085 Mar 25, 2017 #6 Duuu ndo mnavyowafanya watoto wa wenzenu
kidaganda JF-Expert Member Aug 26, 2013 2,995 2,571 Mar 25, 2017 #7 Lishe Bora sana hii... Ongezea na maziwa na madarasini
Ze General JF-Expert Member May 10, 2014 1,508 1,251 Mar 25, 2017 #8 Hata mkeo mtarajiwa anafanyiwa hivyo mda huu... hivyo hakikisha halichachi lisiwe na kikomo ili lisiishe
Hata mkeo mtarajiwa anafanyiwa hivyo mda huu... hivyo hakikisha halichachi lisiwe na kikomo ili lisiishe
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,141 12,131 Mar 25, 2017 #9 hii haiongezi nguvu za kiume Bali huongeza mafuta na uwingi wa shahawa basi,kama unapigaga kama Kuku usitegemee utaongeza performance
hii haiongezi nguvu za kiume Bali huongeza mafuta na uwingi wa shahawa basi,kama unapigaga kama Kuku usitegemee utaongeza performance
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,734 729,902 Mar 25, 2017 #10 Beberu-mpya said: Leo hatoki labda aniambie ni nani alivamia Media siku ile.... Click to expand... Unachokitafuta utakipata Kama si kuvimbilwa basi ma shoes
Beberu-mpya said: Leo hatoki labda aniambie ni nani alivamia Media siku ile.... Click to expand... Unachokitafuta utakipata Kama si kuvimbilwa basi ma shoes
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,734 729,902 Mar 26, 2017 #12 lolypop said: ongeza konyagi bapa ndogo Click to expand... Na dragon
Ziege JF-Expert Member Nov 8, 2014 337 139 Mar 26, 2017 #14 Unajitahidi hadi mwisho then unaambiwa ingiza basi. Utajuta halafu ukicheki katoto kenyewe kadooogo
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,958 2,951 Mar 26, 2017 #15 mshana jr said: Na dragon Click to expand... tena mbili
Benny EM JF-Expert Member Aug 31, 2011 488 347 Mar 26, 2017 #16 Hlf kimoj Tu.... Hoi... Mpk baad y masaa 5...duh sa ndio nn..!!