Nataka Kununua Laptop Mwez Huu, Je Ninunue Yenye Specification Gani? Mimi Ni Mpenz Wa Magemu Na Budget Yangu Ni Laki Tano, Tafadhali Naomba Ushauri.
Nitainunua Mwanza.
kwa bei hio huwezi pata gaming pc hata used hupati.
ila sababu unapenda games inabidi ununue laptop za amd zenye apu (cpu na gpu zinakuwa pamoja) hizi ndio atleast utapata dedicated graphics memory angalau 386mb au ukibahatisha 512mb kwa chini ya laki 5.
nenda maduka yenu ya laptop huko mwanza tafuta laptop za amd ndani ya budget yako then zigoogle angalia zinatumia aina gani ya amd hlafu angalia ipi inafaa kwa games. ukishindwa kabisa zunguka madukani tafuta hata laptop 10 ziandike pembeni uje uzilist kwenye hii thread wadau watakusaidia ipi nzuri.
mm katika duka langu ninayo laptop ambayo ni
. amd dedicated graphics memory 386mb.
. 320hdd
. 4gb ram
bei ni 400,000/= offer price. only 2pc remain
call 0779420000.
Nataka Kununua Laptop Mwez Huu, Je Ninunue Yenye Specification Gani? Mimi Ni Mpenz Wa Magemu Na Budget Yangu Ni Laki Tano, Tafadhali Naomba Ushauri.
Nitainunua Mwanza.