Kwa bajeti ya 180,000 napata simu gani mpya dukani iwe Samsung au Xiaomi nipo Arusha

Ushauri wangu,kama unataka kitu kizuri hata kama unahisi hela yako ni ndogo hii brand itoe kwanza kichwani mwako huyo ni Tecno aliyechangamka ila action ni zile zile za Tecno.

Utakuja kunishukuru!
Hamna kitu! Nyie ndio wale wale mliokariri majina makubwa Samsung, Redmi, etc. Tunaozitumia Infinix kwa miaka hatuoni tunachokikosa kwa kutotumia hizo Samsing zenu. Infinix iko poa asikwambie mtu!
 
Nenda kwenye ukurasa wa Instagram wa hawa simubombatz. Wana karibia brand za simu zote maarufu hapa TZ. Wanakupa ushauri na pia wanakuletea hadi ulipo bure kwa DSM. Na unalipa baada ya kukagua mzigo na kuridhika nao. Unapewa na warranty card kabisa kwa kadiri ya masharti ya kampuni ya simu husika uliyonunua.
Mimi nilinunua wakaniletea hadi nyumbani.
 
Sikubishii mama ila subiri itakapoanza kuwasha torch mchana wa saa saba jua kali mixer kutuma msg zisizoeleweka kwa watu usiowategemea uje tena hapa kusema!

Mimi nimemuokoa huyo shida ninyi watumiaji wengi wa Tecno mnakariri,zipo simu nzuri mno ukitoa hayo makopo Tecno na mwenzake infinix akijibana bana akaongeza 100K ktk hiyo pesa anapata Redmi au Oppo moja kali sana inayoizidi uwezo Tecno inayouzwa mpya dukani 400K.
 
Asante sana mkuu ngoja niwacheki
 
Mtu wa hivyo ujue hajawahi shika simu kali (flagship)
 
Back
Top Bottom