Kwa atakayeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,692
Kama walivyoisha sema wadau huko nyuma ukiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar ushamba wako uache huko huko.

Dar es salaamu ndiyo Tanzania na Tanzania manayake Dar, usije na ushamba ushamba wako huko ukaivuruga Dar kama mlugaluga alivyoivuruga, kuja kujua kula ubwabwa wa Nazi basi imekuwa shida eti ainyooshe Dar mbona sasa ndiyo kaipindisha kabisa mpaka amesepa.

Kumbuka Dar aliikuta Nyerere na aliiacha vizuri sembuse mlugaluga, chonde chonde ukija uje kwa adabu.

CHEKI Dar alivyoiharibu, tafadhari mkuu wa mkoa mtalajiwa jiheshimu.
 
Kitu Cha Muhimu Mteuliwa Awe Na
Busara,Hekima,Ustahimilivu,Mwenye Kuwasikiliza Wananchi

*Kasulu Kuna Mkuu Wa Wilaya Ambaye Rais Alimteua Akaenda Na Kiburi Dharau Kejeri Kwa Watu Wazima Umri Wa Wazazi Wake

Akaonywa Punguza Dharau
Akasema Yeye Ni Mwanajeshi
Basi Wazee Walimtengeza Kwanza
Alilazwa Nje Ya Ofisi Ya Wilaya Kwenye Mchanga Hadi Asubuhi
Watu Wakamkuta

*Ya Pili Alilazwa Chooni Kichwa Chake Kikiwa Shimoni Eneo La Kunyea
Kwasasa Dc Huyo Anaumwa Yupo Ngome Anatokwa Damu Puani

*Dereva Wake Kapararaizi Maana Aliombwa Akamfikishie Ujumbe Dc Akagwaya
Kila Kijiji Hakikosi Wazee
 
Waambie kk hawa wa mikoani wakishakula Idi mbili tu wanajiona washamaliza ilhali basi lenyewe wanashukia ubungo cdhani km wanajua stendi ilikuwa mtongani baadae mnazi mmoja/kisutu bahari iko gongo la mboto wakti huo uwanja wa ndege jeshi la wokovu ple nakadhalika nakadhalikaaaaaa!
 
Uongo Huo mkuu! Hakuna mwenye uwezo wa kumlaza mtu yeyote nje ya mahali mhusika alipoamua kulala.Anyway,Hayo Wewe umesimuliwa au Wewe ndo ulimulaza nje ili tukuamini?
 
Kitu Cha Muhimu Mteuliwa Awe Na
Busara,Hekima,Ustahimilivu,Mwenye Kuwasikiliza Wananchi

*Kasulu Kuna Mkuu Wa Wilaya Ambaye Rais Alimteua Akaenda Na Kiburi Dharau Kejeri Kwa Watu Wazima Umri Wa Wazazi Wake

Akaonywa Punguza Dharau
Akasema Yeye Ni Mwanajeshi
Basi Wazee Walimtengeza Kwanza
Alilazwa Nje Ya Ofisi Ya Wilaya Kwenye Mchanga Hadi Asubuhi
Watu Wakamkuta

*Ya Pili Alilazwa Chooni Kichwa Chake Kikiwa Shimoni Eneo La Kunyea
Kwasasa Dc Huyo Anaumwa Yupo Ngome Anatokwa Damu Puani

*Dereva Wake Kapararaizi Maana Aliombwa Akamfikishie Ujumbe Dc Akagwaya
Kila Kijiji Hakikosi Wazee

Mkuu embu dadavua zaidi, hii habari
 
Duh

Kama umekosa la kuandika kaa chini jipe vibo kwa kuguswa, labda utasahau kumuwazia kila sekunde.
 
Waambie kk hawa wa mikoani wakishakula Idi mbili tu wanajiona washamaliza ilhali basi lenyewe wanashukia ubungo cdhani km wanajua stendi ilikuwa mtongani baadae mnazi mmoja/kisutu bahari iko gongo la mboto wakti huo uwanja wa ndege jeshi la wokovu ple nakadhalika nakadhalikaaaaaa!
Historia peleka msibani
 
Mkuu embu dadavua zaidi, hii habari
Mkuu Wilaya Kwasasa Ina Kaimu
Alikuwa Mtemi Anachimba Bit Hata Wazee
Kuna Member Anabisha Wakati Anaishi Hapo Dar

Cheo Ni Dhamana Hata Makonda Hakujua Kuwa Mwiba Hutokea Ulipoingilia Hapo Hapo
Dc Hayupo Kituoni Inasemekana Cheo Kakirudisha Ameanza Kuumwa Na Kupata Mauzauza Tangu December Mwaka Jana
 
Back
Top Bottom