Kwa atakae weza ku upgrade iphone nitamlipa pesa.

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Natumia iphone 4 nashidwa kudownload vitu kutoka app store naomba kwa anaeweza ku upgrade nitamlipa 10000 napatikana dar gongo la mboto njoo pm
 
Natumia iphone 4 nashidwa kudownload vitu kutoka app store naomba kwa anaeweza ku upgrade nitamlipa 10000 napatikana dar gongo la mboto njoo pm

Hiyo elfu 10 ni hela ya nyanya harafu hizo simu hazina update yoyote. Zaidi ya hiyo 7.1 labda iphone 4s kidogo ina 9.3
 
iphone 4 mwisho wa ios ni 7.1.2 na apps ambazo zinaonekana kuwa na mapinduzi ya kibiashara na kufanya simu ziuzike katika matolewa ulipwa ili waweze kwendana na wakati kulingana na matoleo ya simu.hiyo siyo android na siku hizi nao android wanafanya hivo ili waweze kusaidia makampuni yasonge mbele na simu zao kimatoleo.tumia kama kitochi
 
...........If you catch what i mean!!!
IMG_20181123_235052.jpeg
 
Natumia iphone 4 nashidwa kudownload vitu kutoka app store naomba kwa anaeweza ku upgrade nitamlipa 10000 napatikana dar gongo la mboto njoo pm
Hiyo iliishia iOS 7.1.2 baada ya hapo ikatoswa.
Fanya tu ku ijailbreak ndugu uweke market nyingine
 
Acha ujinga. Kama upo Dar nenda mlimani city kwenye duka lao. Upgrades ni dola 50 hadi 100 software peke yake.
Iphone 4 zaidi ya iOS 7.1.2 huwezi iupgrade washaitosa kitambo, kwa sasa kununua simu chini ya iphone5s ni kujitaftia shida tu
 
Nunua simu iliyo katika wakat. Iyo iphone 4 nmetumia nipo secondary miaka 10 ilyopita wewe unaingangania ya nn?
 
Unayo apple id take...kuna wahuni walichukua ya mshika imebaki kila siku inatuma meseji za kurest....kama ni wewe irudishe
 
Back
Top Bottom