0 04sabrah05 Member Joined Aug 9, 2016 Posts 20 Reaction score 15 Aug 15, 2016 #81 Kwa mujib wa calendar ya TCU Leo ni tar14 maana naona kimya hadi sasa
andy90 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 269 Reaction score 105 Aug 15, 2016 #82 Guidebook mliokuwa mnaitaka mmeshawekewa teyarrr ingia kwenye tovut ya tcu
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,172 Reaction score 42,945 Aug 16, 2016 #83 andy90 said: Guidebook mliokuwa mnaitaka mmeshawekewa teyarrr ingia kwenye tovut ya tcu Click to expand... Mkuu, mimi natumia simu. Sijaona chochote, wamesemaje kuhusu hiyo GPA.
andy90 said: Guidebook mliokuwa mnaitaka mmeshawekewa teyarrr ingia kwenye tovut ya tcu Click to expand... Mkuu, mimi natumia simu. Sijaona chochote, wamesemaje kuhusu hiyo GPA.
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,784 Aug 16, 2016 #84 Chini ya hapo utabaki daraja la kati Elimu ya juu utaisikia kwenye bomba
In christ alone Member Joined Jul 2, 2016 Posts 51 Reaction score 33 Aug 16, 2016 #85 Baada ya kuona wamefungua ikanibidi, nikacheki gem ya Chelsea vs west ham pia Chelsea wameshinda yaan mzuuka wa kufanya application ukaongezeka, maana ningekua namastress endapo Chelsea ingefungwa.
Baada ya kuona wamefungua ikanibidi, nikacheki gem ya Chelsea vs west ham pia Chelsea wameshinda yaan mzuuka wa kufanya application ukaongezeka, maana ningekua namastress endapo Chelsea ingefungwa.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,961 Reaction score 25,325 Aug 16, 2016 #86 Daaah bora kwa kweli ...