Kwa application za degree kwa wenye Diploma

CAS Applications Now Closed




We are finalizing the guidebook for applicants with diploma qualifications. The system will be open for applications on 15th August 2016. We applogise for delays.

Ubaya mnaambiwa tarehe 15 lakini saa hakuambiwi
 
Punguza hasira usituharibie kazi tafadhari.... Muda ukifika tutawataarifu.
 
DUU!!
 
JAMANI MNAONAJE TUKAJIKUSNYA WOTE KWA PAMOJA NA KUPAZA SAUTI ZETU KULIKO KUBAKI HUM JUKWAANI PEKEE.
Nanote kauli ya mh siyo usemi wngu "sheria inasema ukikatazwa kufanya kitu ww ukakaidi na kuamua kufanya utapigwa tu maana hamna namna nyngne" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watarekebisha Na GPA ?, au inabaki hivyo hivyo ya 3.5?, maana wengine kma mm Ni 3.2!, mwenye kufaham hilo waba jamvi
 
Are they still finalizing the guidebook,,,,,,,,?[emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Are they still finalizing the guidebook,,,,,,,,?[emoji19] [emoji19] [emoji19]


NACTE Walikwisha Jitayarisha Kwa GuideBook Yao, Lakini TCU walikurupuka Na Kuvamia Kwa Kuwastopisha NACTE wasidahili Shahada, Hatimae Sasa Wanaandika GuideBook Kinjianjia Usiku na Mchana Na Kudai eti Wanafinalize! Kumbe Ndiyo Kwanza Walikuwa Wanaianza Sasa...
Sasa Njoo Ucheki Matatizo na Kasoro Kwenye Hiyo GuideBook Yao Ya Kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…