Kwa anyeuza play station!!

Kwa anyeuza play station!!

kontronoma

Senior Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
100
Reaction score
117
..kama kuna mtu yeyote anyeuza playstation2 ambayo bado ipo kwenye hali nzuri naomba tuwasiliane basi tufanye biashara anaweza kunicheki pm
 
Mpya na controllers 2 nawezakukufanyia 240000 kama upo serious pm....ni mpya sony hazijafunguliwa toka kwenye boxes zake
 
mimi nauza kwa laki 2 na nusu.ina 2 controller,cd original 8.
 
022.JPG 021.JPG
 

Attachments

  • 023.JPG
    023.JPG
    917.2 KB · Views: 54
Ni mpya kama ilivyota dukani inacheza cd original na fake...haijawahi kufunguliwa toka kwenye box...nilikuwa nampango wa kufungua play station sehemu nikanunua toka dubai 5 nikazituma dar...kama upo serious pm au text +971504374387, karibu
 
Inacheza cd fake (za kucopy), ni mpya au used?
ni used from uk.ila haina matatizo kuhusu cd feki sina uhakika kwa sababu haijawahi kutumiwa na cd feki.cd zote nilizonunua ni original from uk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom