Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Natakaniowe msichana nimakonde mwenye kujua Tabia Zao pls anijuze kabla cjachukua mahamuzi ya kufanya hivo nategemea toka kwenu ndugu zangu
Ukichimama nchale, ukikimbia nchale, ukigeuka nchale, ukikaa nchale, ukilia nchale, ukicheka nchale...uchimeze wala uchimung'unye...
haya nenda kaoe...
Ukitegemea mawazo ya humu mkuu hutaoa! Kwa mfano tukikuambia kuwa wamefundishwa kutokuwa na mwanaume mmoja utafanyaje? Yaani wao ni mafiga ma3. Jitegemee mkuu usingoje kupewa ushauri humu jamvini!
Kama unataka kuoa oa. Mi niko nao huku ntwara mhh majanga.