Kwa anayeuza laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayeuza laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ze duduz, Aug 27, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  naitaji laptop ya kununua ingekuwa pouwa sana kama ukiweka full specification ya laptop yako.!! Na bei ikiwezekana au waweza ni Pm
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh kijana umepata bum nini???
  kwa kuanza tu, una bei gani???
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mkuu naanda mambo kimtindo nina ka kilo 6 na nusu
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tafuta HP 630 with intel i3 au i5 kwa bei hiyo utapata
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  pouwa mkubwa !! Let me google it
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  khaaa yaaani hata chuo hujafika bado unataka laptop hahahahha wewe acha ujinga waza kula kwanza wewe
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  ila pia inategemea na matumizi yako mkuu ukumbuke more processor more kula chaji. Kama sio mpenz wa magame makubwa na software kubwa kama za video editing na unataka laptop inayokaa na chaji 6 hours then lenovo g575 ni yako with amd fusion processor 1.6 ghz dual core ram 3gb hard disk 320gb ikiwa na radeon gpu ilounganishwa na processor.

  Hii ni laptop ya wanafunz na cha zaidi bei yake ni kama laki 5 mpyaaaaaa.
   
Loading...