Kwa anayetaka nyumba ya mil 15 - 25 tuwasiliane

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Hii habari ni kweli na hakika kama unataka nyumba ya vyumba 3 mpaka 6 vya kulala kwa bei ya mil 15 mpaka 25 tuwasiliane . nyumba hizi zipo katika maeneo 2 mwananyamala na buguruni .zote magari yanafika zingine zimechoka na zingine bado ni nzuri . tuwasiliane nikupeleke ukaone na uchague moja 0657 145555. 0755 099 291
 

Akiri weka picha na jinsi ya kufika home nikimaanisha umbali hadi kituo cha daladala etc.
 
Akiri weka picha na jinsi ya kufika home nikimaanisha umbali hadi kituo cha daladala etc.
ni kweli kaka nyingi ya hizi nyumba haziko mbali na barabara na karibu zote ni gofu ambazo zina umeme na ndani kuna watu wanaishi . mfano kuna moja ipo mwananyamala kwa kopa ni nyumba ya 5 toka kituo cha basi . na kuna nyingine ambayo ni gofu iliyochoka sana ipo pembeni ya barabara ya lami hapo koma koma mwananyamala inauzwa 24m we njoo nikuoneshe japo nyumba 2 . picha huwa zinanisumbua kuweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…