Baba Ubaya
Senior Member
- Jun 24, 2008
- 127
- 21
Wakuu hebu nisaidie ili.Kwa hawa polisi wetu wa barabara ni wote wnakagua leseni zetu za udereva?
Nimepata tabu sana juzi nilipotembelea mkoa mmoja na kukutana na huyu traffic police hadi tukafikishana kituoni.
Nimepata tabu sana juzi nilipotembelea mkoa mmoja na kukutana na huyu traffic police hadi tukafikishana kituoni.